N° 139
SAMSONI NGUVU YA MUNGU
1.
1. Samsoni nguvu ya mungu akapenda binti za wafilistini ¨wake awa wasaliti na wa fia feza¨2x
Refrain
Delila akamwambia samsoni wafilistini ni juu yako nguvu zi
kamwacha samsoni naye akashikwa. Wafilistini wakajuwa adisi zake na siri za unaziri wake ah yoyowe ¨musingelima na ngombe zangu amungejuwa siri zangu¨2x
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
- Watu wa mwili musinge lima na ngombe zangu, amunge juwa siri zangu. - Watu dunia - Wa farisayo Yesu wa mungu alikuja kututoa utumwani hakuwa na kosa yoyoyo
muhukumu wa haki kashitakiwa mbele ya kaisari. Na kusingiziwa mamboya uongo na walio wake ¨Yesu akawa mushindi atakufa, (yeye) yeye yuhai na milele daima.¨ 2x