N° 140
YEREMIA MIMI NI NABII WA MUNGU
1.
Yeremia mimi ni nabii iwa mungu munitendee ngisi mupendavyo mimi ni mikononi mwenu.
Refrain
Ila kitu moja mujuwe ya kwamba mukinyuwa mimi Yeremia laana ni kwenu, laana ni kwenu na watoto wenu na miji yenu.
2.
Tazama Delila akaunga singa na wachawi "Kusaliti neno la uzima kamutowa mupakua wa mafuta "2x
3.
Mu kabila la Yuda enyi malaika za mbingu `Tukuzeni mungu wa uzima bwana mungu ameshinda `2x
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand