APO MIONGONI MWA WATU — Cantiques EUJC

N° 141

APO MIONGONI MWA WATU

1.

Apo miongoni mwa watu mupo ufalme wa mungu mupo mafalme ya watu vita kubwa ufanyika mu watu ""Humo humo mupo Goliati na Daudi "2x

Refrain

-Mungu unifariji ata mu mateso yangu pia ata mufuraha (eh baba ) vita ijapo asubui , vita ijapo jioni ata kati ya usiku mungu wangu niwe na uzima "2X

2.

Goliati usimama unena juu ya nguvu alikuwa na mupiganisha juu ya ufalme , Daudi ka mupiga jiwe akanguka kifudifudi.

3.

Daudi uko na piganishwa namna nyingi , Goliati umupiganisha , sauli umupiganisha , sauli kafurahi ju aliuwa mia za watu , Daudi ka mushinda ju aliuwa elfu za watu.