UFALME WA DAUDI UMEINGIA NDANI MWETU — Cantiques EUJC

N° 142

UFALME WA DAUDI UMEINGIA NDANI MWETU

1.

Ufalme wa Daudi umeingia ndani mwetu leo kwa kufanya kazi

2.

Parapanda italia furaha na vilio wajoli twende twende mbele tusiangamie.

Commentaire

- Mu mbingu ya baba twende, twende mbele tusiangamie - Mu mbingu ya musa

- Mu mbingu ya Elia Siku atakayo kuja wote bila kujuwa, siku atakayo kuja ni karibu.

- Jehova mungu siku atakae kuja ni karibu

- Yesu mwana

- Roho mwema