N° 143
DAUDI MUTU WA VITA
1.
Daudi mutu wa vita (Daudi), Bwana kamupa ushindi Daudi wa kushinda Goliati. Bondeni mwa yordani wakifia ufalme.
2.
Ushindi wa nan iwa Daudi, wa nani wa Daudi mufalme wa kupigana vita.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
- Wa kushinda madui wa Daudi, wa nani wa Daudi mfalme Walipo kuwa mulimani Goliati kasimama, mwenye urefu wa mikono sita na nusu mukuki mkononi mwake tushuke
bondeni. Daudi kaona ndani mwake mulikuwa mawe mbili akaiweka kwenye kombeo akapiga Goliati mu uso akanguka Daudi mushindi kakata
kichwa akaenda nakyo yerusalema.
- Kwa kuonesha ushindi kakata kichwa akaenda nakio yerusalema
- Kwa kuonesha ufalme