WAISRAELI KUNYANYUWA SANDUKU YA BWANA — Cantiques EUJC

N° 146

WAISRAELI KUNYANYUWA SANDUKU YA BWANA

1.

1. Waisraeli kunyanyuwa sanduku ya bwana kwa shangwe miguu sita mfalme kacheza ¨2x mfalme Daudi akafunga Efondi.

Refrain

Nasi wajoli wangu tudumu katika uduma huwo

tazama Delila musaliti kweli wa neno la uzima,

Commentaire

- Tazama Yudas musaliti naye wa neno la uzima - Tazama na wewe Jazareni ¨ Basi wajoli wangu tumwimbie yoyoyo

tumwimbie mufalme.¨2x Mikali katika dirisha katazama Daudi yeye kamutusi moyoni mwake kwani amejifunuwa, mufalme Daudi akuacha kuimba, mufalme Daudi akuacha kucheza.

Yesu kapewa mamlaka yote (mamlaka) ya mbinguni na duniani tumwimbie yoyoyo tutukuze mfalme.