SOLOMONO KUKATA MANENO — Cantiques EUJC

N° 150

SOLOMONO KUKATA MANENO

1.

Solomono kukata maneno ya wake wawili walifia mutoto moja usiku kauwa mwanae kwa kumulalia kachukuwa mwana wa mwenzake awe wake yoyoyo faraka ikakuwa"Wake awa wakenda naye jamani usiwe mutoto avumie mwenzangu."2x

Refrain

Akili ya mungu kukata maneno mwana siwako mwana alie huai.

Commentaire

Com :-Delila musaliti mwana siwako mwana alie na huai -Ewe mwenzangu " " " " " -Ndugu tunafia nini " " " " " -Nawe uzale wako " " " " "

2.

Yesu alinena , alisema asie na mwana yeye ni mufu , alie na mwana ana uzima wa milele mwana si wako, mwana alie na huai . 2x