N° 151
NYUMBANI MWA BWANA
1.
Nyumbani mwa bwanamuna makao mengi yesu ututayarishia fasi kule "tupate kula naye kwa kila siku bila kuona haya ata siku moja "2x
Refrain
Eh mimi , mimi na chagua kukaa nyumbani mwa bwana wangu niwe kama nguzo nyumbani mwa bwana milele na milele .
2.
Nanapiga hodi kwenye mulango wako unifungulie eh bwana na kuomba univalishe kanzu ya karamu nipate kula pamoja na wakubwa.
3.
Inje kuna giza na kusaga meno baridi kali mimi sita vumilia nina kulilia ewe mungu wangu mwokozi na bwana unisikilize.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand