N° 345
SAUTI KUTOKA MBINGUNI
1.
Sauti kutoka mbinguni , sauti unena hivio "Nani atenda duniani kuokowa watu "2x
Refrain
Enyi wajoli uduma huo , uduma huo muna uzuni mapigo mateso mengi yo kwa kuokowa watu
2.
Wengi wakaja kwa kuokowa watu duniani wakapata mateso mengi sana tumwamini mwana wa mungu tupate uzima.
3.
Ni wepesi kunena ila kutenda ni vigumu (shangwe ) shangwe shangwe yo mbinguni duniani kwajili ya mwana wa mungu kujitolea kuokowa watu.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand