YOANE ALIKUWA MUTANGULIZI — Cantiques EUJC

N° 359

YOANE ALIKUWA MUTANGULIZI

1.

1. Yoane alikuwa mutangulizi wa yesu ¨Akapaza sauti yoyoyo mutengeneze mioyo ¨2x ah! ah

Refrain

Ajapo usiku wala akija muchana tuongojeni wote yoyoyo saa ijayo mufalme en ! en tuongojeni wote yoyoyo saa ijayo mufalme ah !ah

3.

2. Yoane alikuwa amevaa singa za ngamia akila asali yoyoyo pia nzige ah ! ah.

4.

3. Tuu karibu ili twende kwa bwana wajoli wangu yoyoyo mutengeneze mioyo ah ! ah

5.

4. Nali wambia juu ya kiti cha mungu enyi wajoli wangu ah ! ah kiti kilicho kimbiawa na mbingu dunia nacho ni mbele yenu ah! ah. Acheni

uzushi nyumbani mwa bwana ¨Ili sauti ikae mioyo ni mwenu ah ! ah ¨2x

6.

5. Kusogea karibu nyumbani mwa Mungu, kuna shinda sadaka ya kutolea tu ah ! ah.