N° 153
ELIA AKAMWAMBIA ELISA MUFWASI WAKE
Refrain
Mungu tenda nawe , Mungu tenda nawe , jehova tenda nawe vikwazo ni vingi mimi paka nishinde vikwazo hivi viote.
1.
Elia akamwambia Elisa mufwasi wake tume kwisha andoka mu giligali na kusii ya kama uishi uko kwani jehova Mungu amenituma kwa mimi kwenda uko geriko.
-Kwani jehova mungu amenituma kwa mimi kwenda Beteli
-Kwani " " " " " " " huko Yordani kumafundisho ya haki.
2.
Wana wa manabii amusini wa kamwambia Elisa umejuwa ya kwama , umejua ya kama , jehova mungu ata muondosha mufalme wako ju yako leo "jibu la Elisa kweli, kweli na jua nyamazeni kwanza "2x yoyoyo.
3.
Walipo vuka Yordani Elia akamwambia Elisa "Omba kwangu lolote wakati huu si jaondolewa "2x ombi la Elisa "nina kuomba sehemu mara dufu ya roho yako iwe juu yangu "2x yoyoyo.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Mimi paka ni riti joo lako -Mimi paka ni riti roho mwema -Mimi paka ni riti roho damilifu (yoyoyo)