ELIA AKAMWAMBIA ELISA — Cantiques EUJC

N° 154

ELIA AKAMWAMBIA ELISA

1.

Elia akamwambia Elisa , Elia akamwambia Elisa giligali tumeondoka mungu wamajeshi amenituma kwa mimi kwenda uku yeriko

-Mungu wamajeshi amenituma nifike ata uko betheli

-Mungu wamajeshi amenituma ifike ata uko yordani kumafundisho ya haki na kweli , kweli.

Refrain

Aleluya mungu wa uzima , aleluya bwana wa majeshi wewe kimbilio la waminifu wapotevu kweli.

2.

Elia akamwambia Elisa , Elia akamutuma Elisa akalima na ngombe zake kumi na mbili Elia akamutupia vazi lake Elisa akamwambia ni busu baba na mama kisha ni kufwate Elia.

3.

Amsini wana wa manabii wakamwambia Elia.