EWE ELISA MWANA WA SAFATI — Cantiques EUJC

N° 155

EWE ELISA MWANA WA SAFATI

1.

(Ewe Elisa mwana wa Safati)2x (Aliye kuwa akilima na jozi la ngombe). kumi na mbili alikuwa mu kumi na mbili (yeye mwenyewe) alikuwa mu kumi na mbili

2.

Ewe mujoli wangu, mujoli pakupata roho shutoke mu mambo ya watu shuache via kusikia, twende naye wote tupate uzima.

Commentaire

- Tukafike mbinguni twende nawe wote tupate uzima

- Tukapate uzima

- Tukafike ku mwisho

4.

Kisha Elia pakupita akatupa vazi ju yake naye Elisa aliacha ngombe kamufwata Elia kwa haraka