N° 156
UKINGONI MWA MUTO YORDANI
1.
Ukingoni mwa muto yordani Elisa na joo la Elia yuko wapi Mungu wa Elia, njoni mwone ujio wa Bwana, njoni mwone ujio.
Refrain
Muhuri wa Mungu ni vichwani mwetu atukuzwe mungu wa uzima.
4.
Roho mwema usemi wa Yoeli aliwaidia wa mitume na kuakikisha ju yao Roho mwema, Roho wa kristo, Roho mwema roho wa kristu.
5.
Akikisho la kutakasika, ushuhuda wa uduma njema, ushirika wa Mungu na watu, yu haja miongoni mwetu, yu haja miongoni.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
- Uvuni wa moto ni vichani mwetu...
atukuzwe Mungu wa uzima
- Na mafuta kweli tumepakaliwa...