N° 157
MULIMA KARMELI
1.
Mulima karmeli Elia na manabii wa bali Elia kawaziaki sisi tuombe kwa baba , Kama mungu wa bali tuombe kwa baba sisi zote tumwabudu , Kama mungu wa Elia " " " " " " "
Refrain
Mujoli wangu umechakuwa nani mungu wa Elia ndie mungu wa uwezo. Baba yangu " " " " " " " Mama yangu " " " " " " "
2.
Manabii wa bal iwa kalia kwa mungu wao "asubui adi hazuuri mungu wao amelala "2x Elia kawaziaki mungu wao amelala .
3.
Elia akalia ewe mungu wa mababu jeho va ndio jina lako shusha moto toka mbingu uteketeze mazabahu jina lako lituku zwe.
Commentaire
Com : -Tutukuze mumbaji mungu wa Elia jina lako lituku zwe.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Mungu wao kipofu kawaziaki mungu wao amelala -Mungu wao kiziwi " " " " " "