N° 158
MANABII WA BALI WA BALI NA ELIA
1.
Manabii wa bal iwa bali na Elia , mbona nyinyi mutakuwa na mawazo ma wili kama bali ni mungu na nyinyi mu mufwate kama bwana ni mungu na yeye mu mufwate.
Refrain
Chaguwa leo , chaguwa leo chaguwa yako njia ya uzima kweli chaguwa leo , chaguwa njia ya uzima utariti salama "2x
2.
Watu wakahalika bali "asubui hadi jioni nao awakupata jibu"2x
3.
Elia akalika mungu , mungu yule wa mababu "Mungu naye akashusha moto iteketeze ngombe saba "2x
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand