MUNGU WA IBRAHIMU... — Cantiques EUJC

N° 160

MUNGU WA IBRAHIMU...

1.

1. Mungu wa Ibrahimu, Mungu Isaka, na Mungu Yakobo ulitenda mambo ya ajabu hawali kwa walio wako

ulitenda mambo ya ajabu yoyoyo kwa walio wako 2x

Refrain

Mungu wangu unifariji katika uweza wako unifariji:

- Eh baba - Eh Mwana - Eh Roho.

3.

2. Mungu kwa maajabu yako Danieli pangoni mwa simba wala umizo wala mukovu haikujirika mwili mwake ila Danieli kasitawi kwa utawala wa dario na

kiro mupersi.

4.

3. Muti murefu kajirika mulinzi toka mbinguni kahukata, muniororo ukaufunga na umande wa mbingu kaotesha.

- Mungu wa uzima tenda maajabu yoyoyo kwa walio wako

- Ata kwa sasa