MASWALI YOTE YA DUNIA HII — Cantiques EUJC

N° 165

MASWALI YOTE YA DUNIA HII

1.

Maswali yote ya dunia hii ya hukumiwa kwa matendo yao "uzuni ni naos ile wala si nywe moyoni mwangu mnamo sikitiko "2x

Refrain

Yavoyo mateso , haya mateso moyoni mwangu "Ya meniuzunisha "2x ninge lifahamu mimi singe lizaliwa ninge lifariki tumboni mwa mamangu ili ni sione mateso ya duniani.

2.

Wakati mimi nilipo zaliwa wazazi wangu na watu wengineo " walifurahi na wakanywa pombe leo hii watu hawa wame uzunishwa "2x

3.

Nita laani kwa siku zile nilipo zaliwa tumboni mwa mamangu na maziwa ya mama yangu yalikuweko kwa mimi ku nyonya inchini pote kwa siku zile nilipo zaliwa.