N° 168
TUPO MIONGONI MWA YOBU
1.
Tupo miongoni mwa yobu eh yobu akwitaji mwana eh yobu akwitaji mutumishi, Ibrahimiu wa mungu akwitaji mwana eh yobu akwitaji mutumishi .
Refrain
Kujikuza kwako wewe usizarau uduma huwa bwana mu mambo mafu anasa za duniani kwa wewe mujoli mu mambo mafu hekima ya duniani.
2.
Yesu kamwambia Petro simoni Petro" rudi nyuma wewe kikwazo rudi nyuma wewe shetani "2x
3.
Mungu wa Petro , mungu wa Yoane , Mungu wa Yakobo njoni , njoni leo , njoni kwetu mufalume wajoli njoni , njoni leo , njoni kwetu mufalume.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand