N° 170
NABOTI ALIKUWA NA SHAMBA
1.
Naboti alikuwa na shamba mizabibu kando ya nyumba ya mufalme habu mwana wa samaria "2x
Refrain
Muhulaa , muhula umekuja , muhula huo umekaribia Naboti watatakuzulumu shamba lako . "Ah yoyowe , yoyowe machozi ya meshuka isabela amefarikisha Naboti "2x
2.
Ahaba kamwambia Naboti nipe shamba lako liwe kama tatu langu la maboga ah . "2x
3.
Naboti kamwambia ahabu mungu ameni kataza kwa mimi uriti wa mababu zangu aha . "2x
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand