UNIPE SHAMBA LAKO — Cantiques EUJC

N° 172

UNIPE SHAMBA LAKO

1.

Unipe shamba lako nilifanye langu la maboga kwa sababu ni karibu yangu nitakupa mahali pengine. 2x

Refrain

Shamba langu , shamba langu mujoli sita kwachiya wewe .

Commentaire

Com : Shamba langu , shamba langu mujoli sita kwa chia yewa wewe Jiwé langu la kutukuza mungu " " " " Jiwé langu la kuhubiri neno " " " "

2.

Naboti akamujibu bwana mungu amenikataza ni sikupe hii shamba langu ni uriti wa mababu zangu "2x

3.

Yezebeli kwa asira (kali ) akachonga kwa watu wa muji na Naboti apigwe kwa mawe na Naboti akakufa"2x

4.

Na wewe mujoli shamba lako la bei ni wapi likikuwa karibu na tiro nawe pia utakufa. "2x