ADAMA ALIKUWA NA WANA WA WILI — Cantiques EUJC

N° 51

ADAMA ALIKUWA NA WANA WA WILI

1.

Adama alikuwa na wana wa wili, mukubwa Kaini mulimaji udongo ( mudogo) Abeli mulinzi wa kondoo.

Refrain

Wa ndugu tu chunge neno , sisi twache ku chukiana tu sije tu kaangamia kwajili ya anas aya dunia.

Alipenda kuona:....

Mupendaji anasa:...

3.

Siku zilipita kaini na Abeli Wote (wawili) wakatoa zabihu zao kwa bwana (udogo) Abeli kaeshimiwa.

4.

Sikilizeni usemi wa mumbaji enyi wajoli kama Kaini akalipishwa kisasi mara saba eh iwe kwako mara makumi sabana saba.

Commentaire

- Utukufu ku neno mara makumi saba na saba

- Upendo kiasi mara makumi saba na saba