N° 52
IKI NI KILIO CHA ABELI
1.
Iki ni kilio cha Abeli mwana wa Adamu ku mashariki ya Edeni.
Refrain
Ndugu mujoli sina jambo na wewe , umeniuwa bure kumashariki ya Edeni
2.
Mungu kauliza Kaini, ndugu yako Abeli ni wapi usinyulize mimi si muchungaji wa ndugun yangu.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Acha asira sina jambo na wewe Umeniuwa bure ku mashariki ya Edeni -Acha chuki sina jambo na wewe -Acha fitina sina jambo na wewe