N° 53
SAUTI YA ABELI
1.
Sauti ya Abeli kutoka shambani , ikalia shambani humo " Shambani mwa bwana " ni meuwawa bure , ni meuwawa na Kaini" 2x
Refrain
Ndugu tutafia nini kila mutu na zawadi yake mbele yake mungu , Ata ukila na kunywa kwangu mimi sikitu (sikitu) kamwe sitaiga mutu .
2.
Nilipo kuwa humo shambani, nilipo kuwa shambani mwa bwana , nilichukuwa gongo , sikuchukuwa upanga , ila mungu peke yake alikuwa mwamuzi wangu . "Ngongo langu e baba ngongo langu la uzima .
3.
Yule joka akisha kwaribu , kutafuta ufariki na nani " Upanda mbinguni, ushuka duniani utafuta ufariki na nani"2x
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand