ENYI WANANGU WA CHANGA — Cantiques EUJC

N° 54

ENYI WANANGU WA CHANGA

1.

Enyi wanangu wa changa sikieni vinene via huduma, Abeli mutu wa kwanza yeye amemuzaa Kaini pia na Abeli.

Commentaire

- Chuki mu shamba: Adamu mutu wa kwanza yeye amemuzaa Kaini pia na Abeli

- Wivu mu shamba:...

Refrain

Kilio e kilio e kilio baba, kilio e Abeli kalia baba, Kaini ameniuwa, sikuwa upanga si kuchukuwa mali za shamba, ameniuwa bure ngongo

langu eh baba limeogoza kondoo za mungu. Ngongo langu e kristo limeongoza kondoo za bwana.

4.

Siku ya sadaka yao mbele yake mumbaji wenye watu.

Commentaire

- Abeli mutume wa neno mumbaji wenye watu

- Abeli mafundisho nzuri...

- Abeli mutume wa haki...

- Kaini mutume wa uongo...

- Kaini mafundisho ya mwili...

- Kaini mwalimu mubaya...