LAMEKI ALIKUWA NA MIAKA NYINGI — Cantiques EUJC

N° 55

LAMEKI ALIKUWA NA MIAKA NYINGI

1.

Lameki alikuwa na miaka nyingi , akazaa mwana jina lake Nuhu kwani aliogopa mungu mu mambo mbovu .

Refrain

Dunia imeja na mambo , dunia imeja na jeuri watu wamechafuka na mafalume za ulimwenguni yoyoyo njoni konyeshe njia , njia nzuri , njia ya uzima .

2.

Huu ni uzao na habari za nuhu e nuhu alikuwa na wana watatu , kweli nuhu , alikuwa na wana watatu nyumbani mwake , "muko Sehemu , na Hamu , na Yafeti"2x

3.

Alipoona mungu ya kama dunia nzima imearibika watu wote wameja jeuri, akanyesha mvua ya siku arubaini kwakutoesha maharifa ya watu ilio chafuka .