UWOVU ULIKUWA DUNIANI — Cantiques EUJC

N° 57

UWOVU ULIKUWA DUNIANI

1.

Uwovu ulikuwa duniani, (Mafikili ya watu ya karibika noa jenga safina)2x

Refrain

Garika ku mbingu Eh noa uwaingize safinani viumbe viote vikaribika noa jenga safina.

Muhubiri wa neno: Eh noa uwaingize safinani viumbe viote vigarigika noa jenga safinani

3.

Safina ikaendelea juu ya uso wa maji (ikashinda milima yote garika ika koma) 2x Noa toa kunguru atoke akajaribu kazi yake akikula vitumba njiwa afwate akatimize uduma.

- Wa katolika

- Wa kiabudu sanamu