N° 61
MUFALUME WANGU ZAWABU NI KUBWA
1.
Mufulume wangu zawabu ni kubwa , sita weza kuliimiliki (ah ah) neno la haki huku wajali wenye hekima ukawapa watoto wa changa.
Refrain
(Neno lako) neno lako la wokovu mupenzi la dumu ata leo ni mbele yake hawai yeyote atakae amini " Yupi atakae nena mimi sikulisikia neno , neno hili neno la wokovu"2x
2.
Zamani za nuhu watu walifanya anasa hawa kumutegemea mungu nayo mvua ikanyesha watu wakamutafuta bwana na kazalika hakuwasikia.
3.
Zamani za lutu watu walifanya ginsi vitendekavio ata leo wanadamu walipinga kusikia maagizo ya bwana akawateketeza kwa moto.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand