N° 62
MUNGU KAMWAMBIA NOA JENGA SAFINA
1.
Mungu kamwambia Noa, noa jenga safina noa jenga safina watu wote waingie, noa jenga safina watu wote waingie.
Refrain
Kweli kweli mu safina y anoa mulingia nyama na watu pia na wa ndege .
2.
Garika ya maji ikajaa duniani , safina ikanyakuliwa na mbingu ika funguliwa.
Commentaire
Com : -Safina bethel ikanyakuliwa na mbingu ikafunguliwa -Safina kolwezi " " " " " " " " " "
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Mulilingia kiboko : mulingia nyama na watu pia na wa ndege -Mulilingia na nyoka : " " " " " " " " " " " "