NOA SAFINANI — Cantiques EUJC

N° 64

NOA SAFINANI

1.

Noa safinani akatuma kunguru nenda ukaone maji kama yamepunguka, sikilizeni eh kunguru akatoka tazameni eh " Tazama kunguru akenda kuketi yoyoyo akenda kuzunguruka (wajoli ) hakupenda kurudi "2x

2.

Noa auzunishwa kwajili ya kunguru akatuma ndege gani noa akatuma e njiwa sikilizenie njiwa akatoka akenda " Tazauenie akakikisha akirudi kwake noa yoyoyo na majani ya mizetuni ( wajoli ) akamaliza uduma ."

3.

Adama na Hawa tazama wa kahuni mungun wetu yeye nao wao ukata uzima "Sikilizenie watu wa melainiwa kwakuto kutii kwao magizo ya bwana yoyoyo wa kazarau uzima ( wajoli ) mateso ikawajia~2x

4.

Mimi nawewe tulitumwa kwa uduma , uduma wa mimi na wewe kuponya mioyo za watu , sikilizenie mungu akatupa uduma, tazamenie bali twatimiza ao atukufanya yoyoyo kama alivio fanya kunguru ( wajoli ) akenda kuzunguruuka, wajoli hakupenda kurudi.

5.

Wajoli wetu wenye kulala muhamukeni , sisi tulikuwa tupo sasa wana wa uzima , sikilizenie wenye kulala hamukeni, tazamenie twanenda nanyi ao mwabaki kulala yoyoyo amukeni mupate uzima wajoli uzima wa yesu mbinguni.