BWANA KANYOSHA UPINDE MBINGUNI — Cantiques EUJC

N° 65

BWANA KANYOSHA UPINDE MBINGUNI

1.

Bwana kanyosha upinde mbinguni mvua zote zikakoma (Upepo kondoa maji dunia safina ikasimama mulimani hararati.) 2x

Refrain

Noa katoa, noa katoa zabihu za shukurani

- Akatowa na ndeke za shukurani

- Akatowa vyote via shukurani

3.

Noa katuma kunguru katazame inchi kama ya me kwisha kweli, aah kunguru kazunguuka kakula vitumba

4.

Noa akatuma njiwa akenda akirudi na majani ya mizetuni.

- Kwa kuakikisha neno

- Kwa kuakikisha kazi

- Kwa kuakikisha vyote.

5.

Bwana kaondoa mulango viumbe viote vikatoka safina vikaenda zao Noa katika inchini akawa eh noa mulimaji mizabibu.

- Noa kakunywa muvinyo

- Noa kabaki utupu

- Noa akafunuliwa

- Noa katika inchini