N° 66
WAKATI NUHU ALIPO TOKA
1.
(Wakati nuhu alipo toka, ndani ya safina) 2x alipanda mizabibu akajifaniya vinyo( eh nuhu) (Nuhu kakunywa kalala utupu hemani mwake) 2x
Refrain
Basi tazama nuhu utupu eh nuhu hemani mwake
- Kwa mizabibu yake: utupu eh nuhu hemani mwake
- Huko ndani ya hema: utupu eh nuhu hemani mwake
- Kafunuliwa: utupu eh nuhu hemani mwake
3.
Hamu naye kaingia hemani, hamu naye kakuta babae utupu eh nuhu hemani mwake. Hamu naye kambia nduguze, Ndugu zake wakaja na nguo kumufinika nuhu
4.
Nuhu naye alipo amuka, nuhu naye kalaani kanana mwana wa hamu (Alaaniwe kanana, kanana, kanana umelaaniwa) 2x
- Muchongezi wa watu: kanana, kanana umelaaniwa
- Musaliti wa neno: kanana, kanana umelaaniwa
- Mwaminifu muongo: kanana, kanana umelaaniwa
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand