N° 70
KISHA ABRAMU KUSHINDA VITA
Kisha Abramu kushinda vit aya wafalme wa tano, Ibrahimu akatoa chekumi kwake Melkisedeki (Bwana naye akumwacha bure yoyoe kamupa mukate na vinyo)2x
Refrain
Enyi wajoli tukuzeni mufalme ndie mushindi wetu.
- Mushindi ni bwana: ndie mushindi wetu
- Kashindia Abramu: ndie mushindi wetu
Bwana kamwambia Abramu kwakuriti inchi wewe upasuwe ndama wa miaka tatu, upasuwe mbuzi wa miaka tatu kondoo naye wa miaka tatu (Ukiwatenga vipande mbili mbili)2x Huwa nanjiwa Abramu akuitenga, Ibrahimu akachunga vitumba tai lisishuke, jua kushuka moto kutoka mbinguni uteketeza vitumba.
bwana kamwambia abramu kwakuriti inchi wewe upasuwe ndama wa miaka tatu , upasuwe mbuzi wa miaka tat
huwa na njiwa abramu akuitenga , ibrahimu akachunga vitumba tai lisishuke , jua kushuka moto kutoka