MAHALI POTE NIENDAPO — Cantiques EUJC

N° 73

MAHALI POTE NIENDAPO

1.

Mahali pote niendapo duniani wapo nani chimbia shimo ni sione haki yako, (Na wenye kuni chukia wapo mbele yangu)2x

Refrain

Bwana mungu, mufalme wangu, (jehova mungu) ulimtoa Ibrahimu miongoni mwa watu wote watenda uwovu mungu wangu Ukanitoa mimi katika dunia hii nipate wokovu

- Neno la mungu Likanitoa mimi katika dunia nipate wokovu

- Upendo wa baba

- Faraja mu neno

- Furaha mu mungu

3.

Wameupumbuzisha moyo wangu 2x (eh moyowangu) moyo uchafuka na mambo ya dunia.

4.

Na tazama mahali niendapo mimi naona nyama ya simba kupenda kuninga uweke bonde baina yangu mimi naayawani simba, uweke bonde baina yangu mimi naayawani kali.