N° 81
ISAKA MUTU MUKONGWE
1.
Isaka mutu mukongwe macho ikapofuka akaomba mwanae Esau u nyama mwenye kunona amuongezee baraka.
Refrain
Kweli Yakobo wangu wende uchukue mwana mbuzi uje upokee baraka
- Baraka mu neno .....
- kweli yakobo.....
3.
Rebeka katayarisha wana mbuzi wa wili akampa Yakobo ampelekee Isaka amuongezee baraka.
4.
Esau kauzunika (kachukizwa ) kalia
5.
kaomboleza juu ya furaha yangu nitauwa Yakobo ameninianganya baraka.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand