N° 82
WAKATI ISAKA ALIKWISHA KUPOFUKA MACHO
1.
"Wakati Isaka alikwisha kupofuka macho yeye akaita Esau "2x
Refrain
Akaita Esau, ( Esau ) Yakobo akanena mimi apa bwana Yakobo utawale juu yetu , mimi apa bwana
2.
Isaka ndie uzima , Rebeka mawazo ya mbingu ,Esau tendo la mwili , Yakobo naye mafundisho ya rohoni.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : Yakobo umepata baraka mimi apa bwana Yakobo ubarikiwe na bwana.