N° 84
YAKOBO AKAAMKA USIKU ULE
1.
Yakobo aka amka usiku ule ,( Yakobo ) kachukuwa wake wake wa wili na vijakazi na watoto kuwavusha yaboki naye Yakobo aliachwa peke mutu kushindana naye akagusa paja lake muvunguni ukasitushwa .
Refrain
Yakobo unlache nlende mimi sitakwacha unibariki
2.
Jina lako nani mujoli eh mimi jina langu Yakobo hautaitwa Yakobo utaitwa Israeli kashindana na mungu pia na watu akawashinda"2x
3.
Nimemuona bwana , uso kwa uso mahali apa penueli nimepata uzima.2x
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Mungu kanena unlache nlende mimi sita kwacha unibariki -Mungu katubu uniache nlende mimi sitakwacha unibariki.