NI KATAZAMA MUJI MTAKATIFU — Cantiques EUJC

N° 86

NI KATAZAMA MUJI MTAKATIFU

1.

1. Nikatazama muji mtakatifu yerusalema kushuka duniani kutoka mbinguni kitini mwa mufalme pango la muji lilikuwa na lango tenashara, kabila la Israeli mwana wa Yakobo.

Refrain

- Lango hili la nani la Rubeni naSimeoni - Lawi na Yuda - Dani na Nafutali - Gadi na Aseri- Isakarina Zebuluni - Yusufu na BenyaminaWote wana wa yakobo Ukitenda wema wako

hekima ni mwako ukitenda wema wako akilini na sautuni utazaa wana kumi na wawili ¨ Kabila la israeli wana wa Yakobo¨2x¨ Ukiitaji ufalme na uzae wana ¨2x kabila

tenashara wana wa yakobo.