N° 87
YAKOBO KWELEKEA MASHARIKI
1.
1. Yakobo kwelekea mashariki katazama Rakeli akichunga kondoo za babae
Refrain
Kweli kweli kwa unyonge wa moyo Yakobo, Yakobo kweli kafarijiwa. - Kwa Rakeli mupendwa Yakobo katumikia Labani miaka saba yeye akitamani Rakeli,
Labani katoa Lea usiku kamupa Yakobo agano la kale, Lea usiku kamupa Yakobo agano la mwili Macho yake zaifu
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
- kumashariki katazama Rakeli akichunga kondoo za babae - kwakwitaji muke -
Akapenda Rakeli