YUSUFU NDUGU YA BENYAMINA — Cantiques EUJC

N° 88

YUSUFU NDUGU YA BENYAMINA

1.

Yusufu ndugu ya Benyamina mwana wa Rakeli "Alivikwa njoo nzuri ya rangi mbali mbali¨2x

Refrain

Wakristu wa penzi tudumu ndani ya neno ( mungu atawapa kila mutu zawadi yake) tazama chuki na wivu zina leta haibu na ziki.

2.

Miongoni mwa wale tenashara wana wa vijakazi walichukiya Yusufu kwa kazi aliotenda.

3.

Tazama kwa wivu kuchafuwa joo lake wakamuzaa Yusufu asiishi na babae.

4.

Baada ya kushinda majaribu ata ndani ya gereza Yusufu ni mufalme katika inchi ya misri.