N° 91
NA NENO SITA LIACHA
1.
Na neno sitaliacha sitarejea nyuma ¨ Ata mu mambo mbovu eh mimi sitaregeza moyo wangu¨2x
Refrain
Nishutumiwapo ni wewe ninapo uzuriwa tamwita nani, shangwe yoyoyo nitamwimidi mufalme.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
- Mimi nialike nani shangue yoyoyo tamwimidi mufalme.
- Mimi Yesu - Mimi Roho Tazama Yusufu kauzishwa na ndugu e kusaliti joo lake ¨ Ila mungu akumwacha kabariki kazi yake¨2x
- Mbele ya wa misri ila mungu akumwacha kabariki kazi yake
- Mbele ya Farao - Mbele ya Potifari