N° 418
LANGO LA FUNGULIWA JEHOVA MUNGU
1.
Lango la funguliwa jehoa mungu ningie ohoo lango la funguliwa jehoa mungu ningie.
2.
Lango la funguliwa yesu wa mungu niokowe ohoo lango la funguliwa yesu wa mungu niokowe.
3.
Lango la funguliwa roho damilifu ni saidie ohoo lango la funguliwa roho damilifu ni saidie.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand