N° 4
BWANA MUNGU , MUNGU WANGU EE MUNGU WA ULIMWENGU WOTE
1.
Bwana mungu , mungu wangu ee, mungu wa ulimwengu wote~2x
Mungu wa wenye uhai na wa sio huahi.
2.
Yesu wangu mwana wa mungu yesu wa ulimwengu wote ~2x
Yesu wa wasafirio na wa sio safiri.
3.
Roho mwema , roho wa mungu roho wa ulimwengu wote ~2x
Roho mufariji , roho wa wenye magonjua na wa sio magonjua.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand