N° 427
UWEZA WAKO
1.
Uweza wako oh twaomba mungu baba uweza wako utujie toka mbingu hapa duniani.
2.
Ufalme wako oh twaomba yesu mwana , mwana wa mungu utujie toka mbingu hapa duniani.
3.
Faraja yako oh twaomba roho mwema roho wa faraja itujie toka mbingu hapa duniani Nehema yako oh twaomba roho mwema roho wa faraja itujie taka mbingu hapa duniani.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand