UMOJA NGUVU ZETU — Cantiques EUJC

N° 429

UMOJA NGUVU ZETU

Refrain

(Umoja) umoja nguvu zetu umoja wokovu wetu uh umoja roho zetu.

( Sisi tupo ) sisi tupo kama kondoo iliyo fichwa zizini mwa mufalme wetu yesu ¨2x

( Nasi tupo ) nasi tupo na umoja taa iliyo mezani na malaika mbinguni .

(Twashiriki ) Twashiriki neno moja tukishirikia kikombe cha damu yake mwokozi ¨2x

( Ushiriki ) Ushiriki na kikombe uyafuwe matendo yako ya siku laaini.