N° 463
TWAKUSHUKURU MUNGU BABA
Twakushukuru mungu baba twakushukuru , twakushukuru mungu baba twakushukuru.
-Yesu ni mwamba wangu mimi , yesu ni mwamba , yesu ni mwamba wangu mimi yesu ni mwamba.
-Yesu ni njia yangu mimi , yesu ni njia , yesu ni njia yangu mimi yesu ni njia. Sitakuacha bwana wangu sitakuacha sitakuacha bwana wangu sitakuacha.
-Ukae nami bwana wangu ukae nami , ukae nami bwana wangu ukae nami.
-Mimi na wewe bwana wangu mimi na wewe mimi na wewe bwana wangu mimi na wewe.
-Usituache bwana wangu , usituache , usituache bwana wangu usituache.
-Wewe ni ngao yetu sisi wewe ni ngao , wewe ni ngao yetu sisi wewe ni ngao.
-Ata kumbingu bwana wangu , ata kumbingu , ata kumbingu bwana wangu ata kumbingu.
-Ata milele bwana wangu ata milele , ata milele bwana wangu ata milele .
-Aleluya amen aleluya , aleluya , aleluya amen aleluya.