N° 464
NIMESIMAMA KATIKATI YA NJIA
1.
Nimesimama katikati ya njia ni kitafuta kwa kwenda nisimamapo na faraka na moyoni mwangu "Na sikia sauti ikimita "2x ( jehova mungu ) mimi naingia nyumbani mwako mufalume mungu wa uzima njoni unifariji "Mimi ndimi mwana asie jua njia "2x
Refrain
Jehova mungu yesu , roho natabika , mimi natabika eei sipendi kuwa nanyi nauharibii wenu kamwe naitaji njia nzuri na penda njia zako "Roho uje unifariji nionyeshe njia zako "2x
2.
Jehova mungu katufanizia vema zamani za kale leo tunanza kutengana na mambo yako Jehova mumbaji uturehemu (jehova mungu) jehova mumbaji uturemu mungu mumbaji uturehemu utuongozeye siku hapa duniani "Tutaitwa wana wako wakati tutatimiza "2x
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand