MWOKOZI WANGU MWANA WA MUNGU — Cantiques EUJC

N° 465

MWOKOZI WANGU MWANA WA MUNGU

1.

Mwokozi wangu mwana wa mungu na karibia naomboleza unikinge vema mwokozi wangu ili taabu yangu itakoma.

Refrain

( Alinena ) alinena omba utapewa , ( alinena ) alinena itaji utaona , ( abishae ) abishae atafunguliwa kwenye mulango wa muji wa bwana.

2.

Naja na kilio mwokozi wangu machozi yangu yameturika wokovu wangu ni kwako bwana kwajina lako viote bvitakoma.

3.

Na tegemea mwokozi wangu kubali uwape haibu waasi wanihaki kwa ziki zangu kwa jina lako viote vitakoma.