TWAKUSHUKURU MUNGU KWA HUDUMA — Cantiques EUJC

N° 469

TWAKUSHUKURU MUNGU KWA HUDUMA

1.

Twakushukuru mungu "Kwa huduma huu tunao ufanya huduma kwa kuanza nawe na kumaliza nawe "2x

2.

Twakushukuru yesu "Kwa huduma huu tunao ufanya huduma kwa kuanza nawe na kumaliza nawe "2x

3.

Twakushukuru roho "Kwa huduma huu tunao ufanya huduma kwa kuanza nawe na kumwaliza nawe "2x