KATIKA SHIDA ZANGU MIMI — Cantiques EUJC

N° 471

KATIKA SHIDA ZANGU MIMI

1.

Katika shida zangu mimi na ziki zote nategemea bwana mungu aniokowe vitani.

Refrain

(Omba mungu ) omba mungu mumbawako wombe utapewa ( utapewa ) tafuta yesu mwokozi itaji utaona ( utaona ) ubishe mulangoni roho atakufungulia.

2.

Wengi wapo wa zaifu mu taabu na kifo , tuishi na yesu kristu katika jambo lote.

3.

Tupo ndani ya taabu sisi na zawabu nyingi kwa kupata roho mwema mufariji wa watu.